Hivi intelejensia ya Tanzania imeshindwa kufahamu alipo Askofu Josephat Gwajima?

Kwa hiyo msajili amefuta taasisi ambayo hajaisajili, hivi kichwani zimo kweli wewe?
ni sahihi, taasisi zipo zinazofanya kazi bila usajili, zikibainika zinafutwa, kwa sababu wateja wafuasi wanajua ni taasisi rasmi. Mungu wenu GWAJI ndyo hazimo, kijiwe chake hakukirasimisha ndyo maana kimekuwa deleted
 
yes ni ghafla 😀 , Gwaji boy hakuishi na hii verse "Give to Caesar what is Caesar's" (Matthew 22:21), alifumbiwa macho kwa hilo kosa, alivyojichanganya ndyo ikawa ni gafla ya kufunga kanisa.
 
Kwa kawaida Kati ya watu wawili wanao kuchukia Kuna mmoja anakupenda

na nisarama Sana kufichwa na adui yako kuliko rafiki yako
 
According to political commentator Alex Karugendo: “Knowing the way CCM operates, he must have been aware that ,what he was doing was tantamount to committing political suicide. Unless he is thinking of moving to another party.”
 
Ukute wamekwisha Mteka sema wameamua kuwa kimnya kwa namna hii.Kama kweli Gwayboy yupo sehemu salama aseme neno tusikie,Kama alivyokuwa akifanya Osama
Kama kuna case wafungue na kimuarifu Kibatala mwanasheria wake.

Kumtafuta gizani ni kutaka kumteka na kumpoteza bila kimpekeka court.

Kazi mnayo form four failure.
 
Sometimes wanajiteka wenyewe Hawa,hata Wilbroad Slaa alishasema haya.

Au wengine wanawekwa kifichoni na mabwana zao baadae kama wanakuja kusumbuana na umma kama huyo Gwajima
 
Msando kanichekesha leo wanataka ajitokeze kufanya nini kama kanisa lake limefutwa kwani anatafutwa? Msando aseme kama Gwajima anatafutwa
 
Free tundu Lissu.
No reform No election.
No reform No election.
No reform No election.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…