Jagwanana
Senior Member
- Jul 3, 2024
- 130
- 224
Mkuu ccm ile kwa sasa,
Ccm ya kipindi kile haikuwa na machawa , ya sasa ipo na makunguni na ndo wanajifanya kukijua chama k
Uhuni ni vyama vyote. Wazee tupo, Gen-z wapo. Tuwafundishe tu Gen-Z wa TZ kwamba nguvu yao haiko kwenye hasira na misuli bali ktk siasa za ushawishi na nguvu ya kura yao,maana wako wengi ktk taifa. Then we will be ok.Mkuu ccm ile kwa sasa,
Ccm ya kipindi kile haikuwa na machawa , ya sasa ipo na makunguni na ndo wanajifanya kukijua chama kuliko.
Kuna clip moja hivi mzee mmoja anakili kwamba ccm ya sasa sio ile ya mwalim au enzi zile ya sasa ni yawahuni