Hivi, Inzi wanalala wapi usiku?

Hivi, Inzi wanalala wapi usiku?

HALCYON311

Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
27
Reaction score
20
rexfeatures_1423212a.jpg
 
Hivi ni kweli wanaishi siku 7 kisha wanakufa?

Wanajamiiana saa ngapi, mayai yakomae waangue watoto kisha wafe?
 
nzi,mende,mmbu,sisimizi nikiwaona naskia hasiraaaaaaaa

wanajua nachowafanyaga tena nnzi ndo nikiwadaka wananikomaga.

Itakua hua unawachukua nzi unawaweka ndani ya mfuko wa barafu,unadumbukiza na dushe kwny mfuko huo then wale nzi walioko ndani ya ule mfuko wana act kama catalyst.
 
Jamaa kauliza swali zuri saana lakini majibu ya hovyo kabisa
 
Jamaa kauliza swali zuri saana lakini majibu ya hovyo kabisa
Ni swali fikirishi hili.

Kuna mdau anasema kwenye kamba za kuanikia nguo, yupo sahihi.

Pia hulala kwenye majani ya mimea, kingo za meza au ukuta kwa chini maana hulala wakiangalia juu.
 
Jamaa kauliza swali zuri saana lakini majibu ya hovyo kabisa

Halafu kitu kingine cha ajabu ni kwamba huwezi ona Inzi kwenye mesi za wazungu tofauti na mesi za waswahili
 
Back
Top Bottom