Ilitokea nilimwambia mimi nina mpenzi wangu ila natamani kuwa nawe, akakubaliKuna wale vijana na kuendelea mpaka uzee unasema acha nichepuke au kujaribu ili mradi tu nifurahishe au nimempeda kwa tamaa tu mambo yakawa mengine mpaka ukatamani kukimbia.
Miaka ya nyuma nilishawahi kuchepuka na ka dada kanajiuza, ilikuwa lengo langu na mimi ni suuze roho ndio kosa lilipo anza na alikuwa anajua kwangu kabla sijaoa.
Kila siku lazima atimbe ghetto mpaka kazi ya kujiiuza hataki tena. Nilikimbia mtaa na namba ya simu kubadilisha.