Hivi IT kutoka Dar hadi Bukoba bei Gani?

Hivi IT kutoka Dar hadi Bukoba bei Gani?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari Wana JF,

Naomba kuuliza hivi kutoka Dar es salaam Hadi Bukoba kwa IT zile zinazopatikana chang'ombe ni bei gani?

Mana Mabasi ni 80000/= aisee.
Kwa anaefahamu rakini pia kama Kuna mtu unajua bei ya malori yanayokwenda huko na bei zake.

Tafadhali msaada

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
 
Habari Wana JF,

Naomba kuuliza hivi kutoka Dar es salaam Hadi Bukoba kwa IT zile zinazopatikana chang'ombe ni bei gani?

Mana Mabasi ni 80000/= aisee.
Kwa anaefahamu rakini pia kama Kuna mtu unajua bei ya malori yanayokwenda huko na bei zake.

Tafadhali msaada

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
IT, Bukoba?labda zinazokwenda Rwanda , Burundi, au Drc, uteremkie njia panda ya kwenda biharamulo, kwa sasa nauli ni kama 50, 000 hivi, japo inategemea na bargaining power yako.
 
Panda treni mpaka mwanzs..kisha panda meli kwenda bukoba..hapo nauli hata 50k haivuki..na utabeba mizigo mingi.

Ila jiandae tu kuwa safarini kwa siku 3.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukimpa nauli, Marinda yake yatasalimika? au yatakuwa kama ya cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan usiponitaja huridhiki? Unanipenda sana eeeh? Yaan una ni admire kuliko hata demu wako lol.
Weraaaaa weraaaaah, coca ndo mie, na hakna mwingine.

Relaaaaaaax.
 
Mbona unamshobokea sana cocastic
Tena unamponda vipi alikukataa au vipi??? Mana nimeona mapepe yako yamekuwa mengi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tanteeeeeeh kwa kumnyooosha. Yaan umempa zenyewe..
Pita kwa mangi chukua chochote, bill juu yangu. Umejua kunifurahisha wallah. Woiiiiiiih
 
Ananiona mimi au wewe unayependa vya bure kama cocastic ambaye kutokana na Tabia ya kupokea vya bure, marinda yake yalishayesa siku nyingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DJ waleteeeee, wakisindikizwa na Amapiano.

Woyooooooooooh
 
Back
Top Bottom