Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Aaah samahan kiongozi!Bei ya kitu gani mkuu ?
Bei ya IT huwa inafanana na nauli ya basi.Aaah samahan kiongozi!
Nina maana ya bei ya Nauli.
Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana!Bei ya IT huwa inafanana na nauli ya basi.
Inaweza kushuka inategemea na uwezo wako wa ku bargain, au muda wa kupanda gari. Ukipanda gari muda wa usiku nauli inapungua.
IT, Bukoba?labda zinazokwenda Rwanda , Burundi, au Drc, uteremkie njia panda ya kwenda biharamulo, kwa sasa nauli ni kama 50, 000 hivi, japo inategemea na bargaining power yako.Habari Wana JF,
Naomba kuuliza hivi kutoka Dar es salaam Hadi Bukoba kwa IT zile zinazopatikana chang'ombe ni bei gani?
Mana Mabasi ni 80000/= aisee.
Kwa anaefahamu rakini pia kama Kuna mtu unajua bei ya malori yanayokwenda huko na bei zake.
Tafadhali msaada
Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Duuh nashukuru sanaIT, Bukoba?labda zinazokwenda Rwanda , Burundi, au Drc, uteremkie njia panda ya kwenda biharamulo, kwa sasa nauli ni kama 50, 000 hivi, japo inategemea na bargaining power yako.
Tatizo ni Nauli.Panda ndege mkuu, achana na mambo ya IT, au panda bus linaitwa Travel Partner. Kama tatizo ni nauli niambie
Ukimpa nauli, Marinda yake yatasalimika? au yatakuwa kama ya cocasticPanda ndege mkuu, achana na mambo ya IT, au panda bus linaitwa Travel Partner. Kama tatizo ni nauli niambie
Mkuu!Panda treni mpaka mwanzs..kisha panda meli kwenda bukoba..hapo nauli hata 50k haivuki..na utabeba mizigo mingi.
Ila jiandae tu kuwa safarini kwa siku 3.
#MaendeleoHayanaChama
Ananiona mimi au wewe unayependa vya bure kama cocastic ambaye kutokana na Tabia ya kupokea vya bure, marinda yake yalishayesa siku nyingi.[emoji23] Mungu anakuona
Nina Penda sana ndiyo maana najitahidi kumrudisha kundini maana alipo amepotea na nawajali wengine wasimuige. Huu ndiyo Upendo wa kweli wa kiumeMbona unamshobokea sana cocastic
Tena unamponda vipi alikukataa au vipi??? Mana nimeona mapepe yako yamekuwa mengi??
SawaNina Penda sana ndiyo maana najitahidi kumrudisha kundini maana alipo amepotea na nawajali wengine wasimuige. Huu ndiyo Upendo wa kweli wa kiume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan usiponitaja huridhiki? Unanipenda sana eeeh? Yaan una ni admire kuliko hata demu wako lol.Ukimpa nauli, Marinda yake yatasalimika? au yatakuwa kama ya cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tanteeeeeeh kwa kumnyooosha. Yaan umempa zenyewe..Mbona unamshobokea sana cocastic
Tena unamponda vipi alikukataa au vipi??? Mana nimeona mapepe yako yamekuwa mengi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DJ waleteeeee, wakisindikizwa na Amapiano.Ananiona mimi au wewe unayependa vya bure kama cocastic ambaye kutokana na Tabia ya kupokea vya bure, marinda yake yalishayesa siku nyingi.