Hivi itakuja kutokea duniani muimbaji bora wa kike kama Whitney Houston?!

Duh, huyo mke ulimpata wap sasa,na vitu gani hivo anafanana navyo mkuu? Anaimba?
 
Kama ni kwa miaka ya karibuni sawa ila kulikuwa wakongwe na majina makubwa kama Aretha Franklin na Diana Ross japo sina ufahamu wa tuzo ngapi walipata kubeba.
Pattie Labelle na Gladys Knight
 
Samahan wote mnaomsifia Whitney Houston , nitajie Ngoma yake moja Kali inayoweza izidi A new day has come ya Celline Dion, ili nimwamini kuwa ni Mwamba....
 
Samahan wote mnaomsifia Whitney Houston , nitajie Ngoma yake moja Kali inayoweza izidi A new day has come ya Celline Dion, ili nimwamini kuwa ni Mwamba....
"I will always love you" For Starters
 
Hapa kuna mrengo wa kulia ( wahenga) kwao huyu Whitney ndio kila kitu
Mrengo wa kushoto (.com) wao ndio akina Allicia keys
Ila ukweli huwez fananisha ndimu na limao Whitney was best
Hawa vijana wajifunze kwao
 
Whitney Houston is the best musician of all time,........"I look to you"
 
Kamsikilize Lata Mangeshkar, kishaimba maelfu ya nyimbo kwa lugha zaidi ya 26, kwa miaka zaidi ya 50.

Sauti zake hazina mfano ,(anamudu kuimba kwa sauti zaidi ya 10 za uimbaji na mitindo mingi, kama si yote, uijuayo na usiyoijuwa.
 
Kumzidi dolly Parton wa Island in The stream??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…