Hivi itakuja kutokea duniani muimbaji bora wa kike kama Whitney Houston?!

Hivi itakuja kutokea duniani muimbaji bora wa kike kama Whitney Houston?!

WH alibahatika kutoka kwenye familia njema na hivyo kupata Promo ya ajabu mno.

Mama yake alishaimba na makundi ya muziki mengi na mmoja ya wanamuziki ni Luther Vandrous ambaye kila mahojiano aliomba wampigie wimbo wa HW.

Moja ya watu wa karibu kwenye familia ni Chaka Khan kama shangazi na Binamu yake Dionne Warwick kama sijakosea.

Mmoja ya wanawake wenye sauti ya kuliza watu ni Mama Aretha Franklin ambaye nakiri nimekuwa mpenzi wake hadi alipokuja Brandy na kumrithi.

Sema tu Mama alikuwa ni type nyingine ya show na HW type nyingine ya show. Mama alikaa na kupiga kinanda mwenyewe huku akiimba....

Angalia Obama anavyotoa chozi lake la kushoto kwa jinsi Mama anavyoimba wimbo wake mashuhuri ambao hata Celine Dion aliurudia.


Asante sana mkuu kwa video,nimeipenda mnooooo.
What a performance?
 
mkuu celine dion,toni braxton,shania twain ,mariah carey,j lo hawa sio bora??
 
Only Whitney houston hakunaga
Aliebak hai labda mariah carey na celine Dion kidogo
 
When you believe, you can achieve & don't walk in any one's shadow ni kati ya mistari kwenye nyimbo zake ambayo huwa naifanyia kazi
 
And I am not afraid to try it on my own
I dont care if I'm right or wrong


May her soul rest in peace.... Whitney alikuwa mkali kuanzia vocals hadi maana ya nyimbo zake ..

Ray c naye anaishia kama huyu mama aseee....unaweza ukawaua wauza madawa ya kulevya kwa jinsi wanavyoviteketeza vipaji
Kwani na huyu mama alifarik kwa madawa ya kulevy? Samahani kwa swali
 
Nachofurahi 2pac alipiga sana apa chini chini mtt alipodata 2pac kamfungia vioo

Rip Whitney houston and 2pac
 
Ur still my man huwa nikisikia khasa pale anapoimba
The season of our love it's always change I know maybe thats the reason u want to go
But soon u will be missing me darling I know u well
Chini panameza.
 
Penye I will always love you alivyopanda inabidi ukitaka kubaki vile ujipange vinginevyo unaweza kuchafua hali ya hewa (ushuzi )
 
Back
Top Bottom