Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau kwa muda wa miaka mingi nimesikiliza muziki wa RnB, Soul na Pop hasa wa wasanii wa kike ila mpaka sasa sijapata wa kumfikia WH! Huyu katika wasanii hakika alikuwa msanii na sidhani kama kuna msanii wa kufikia records alizoweka!
Mpaka anafariki alikuwa kashapata tuzo, 640+ huku akiwa nominated zaidi ya mara 781!!
Mbali na Whitney Houston Wasanii wanaomfatia kwa ubora ni pamoja na
2. Mariah Carey
3. Celine Dion
4. Christina Aguilera
5. Beyonce
![]()
![]()
Kama akili yako ipo kwenye bongo flavor huwezi elewa chochote...Kwa akili yako....ukijumlisha Awards won zinafikia 640+ kweli? Binafsi sioni uzuri wa muziki wake, mi napenda muziki wa Bongo tu.
Hapo ongeza i have nothng, saving my love, heart broken hotel..wanna danc with smbdy
Inshort huyu mama alimaliza kiu ya music tena mkute akiwa jukwaani anavyocheza na sauti u gonna[emoji173]
Kuna kippindi Jennifer hudson alikuwa anakuja kuja well ila stil yupo poa pia.
RIP
Yeah nilisahau ilooOngeza all at once , na ready for love
Canada inaongozwa na queen Elizabeth by honor.Hiyo ilikuwa ni rejea ya Celine tu....
Licha ya hivyo Canada ni kama jimbo la USA.
Ukiwa Canada huoni hata tofauti yake na USA ni ipi.
Kuanzia nyumba, majengo, magari, lugha [ukiacha labda kule wanakozungumza Kifaransa].
FYI, baba yake Drake ni Mmarekani.....kutoka Memphis, TN.
Si kweli kwamba Bobby alimfundisha Whitney kubwia unga. Aliyemuintroduce Whitney kwenye unga ni kaka yake.Wakulumiwa ni Boby Brown kwa kumfundisha huyu mlimbwende kubwia unga. So sad.
Wakulumiwa ni Boby Brown kwa kumfundisha huyu mlimbwende kubwia unga. So sad.
Basi sawaaa!Si kweli kwamba Bobby alimfundisha Whitney kubwia unga. Aliyemuintroduce Whitney kwenye unga ni kaka yake.
Huyu Mama na kumzidi umri BB bado BB ndiye amfundishe HW kutumia unga? Acheni uongo kama hamfahamu historia ya watu.
Whitney alikuwa mtumia unga kwa miaka mingi tu ila sema familia walificha au hawakutaka kuliona hilo na wakaja wakapata jalala la kutupia lawama.
Wee mtu alishatoka na akina Eddy Murphy, Jermain Jackson, Scott Pippen nk ndiyo kuja kuokotwa na kitoto BB by the time.
Mama ndiyo maana alikuwa amekauka mwili kwa miaka mingi kwa sababu Cocca inakausha mwili na mtu anakuwa hana Maziwa wala Makalio.
Hebu angalia huu wimbo ambao aliimba wakati hajawa bado na BB jinsi alivyochonga na kubaki mifupa. Cocca inachongesha watu si kawaida.