PreGE2025 Hivi itakuwaje iwapo Rais Samia Kufanyia kazi mapendekezo ya Askofu Gwajima?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,612
Reaction score
16,189
GTs,

Swali la kizushi.

Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, je hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?
 
Hakuna haja ya kuwa vuguvugu, jambazi ni moja tuu kuwa baridi au moto.
 
GTs,

Swali la kizushi.

Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, ja hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?
1. TCRA wataruhusu mitandao kurudisha video walizolazimisha kuondolewa
2. UVCCM watatoa TAMKO kumuunga Mkono Mwenyekiti wao
3. Wabunge akina Msukuma watamsifia Gwajiboy
 
Hahahaha!
Mkuu si unaongelea machawa, au unaongelea issue nyingine?

Yataandamana kumuunga mkono Rais kwa kuliponya taifa! 😁😆😆
 
Hiyo haiwezekani.
Kuwaambia walinzi wa Dola kwamba wanalisumbua Taifa?
Rais asijaribu kufanya hivyo .
 
Ikitokea Rais yeyote akaruhusu marekebisho ya sheria kuhusu Jeshi la police nchini Tanzania kutoingiliwa na kwamba watu wakifanya uvunjaji wa Sheria kwa kujitambulisha wao ni police, wakikamatwa hapo hapo walipojitambulis au mamlaka yeyote, huku wakijua wanatenda kinyume na sheria za nchi, wapelekwe mahakamani hukumuni kwa nguvu ya umma kwa kuanzia hapo hapo walipojitambulishia basi taifa litapona sana, litakuwa safi sana, na wakikataa kupelekwa hukumuni wasulubiwe hapo hapo kwa taarifa ya Pilato kuwa ananawa (alishasaini sheria) mikono, hawatambui, Wasulubiwe tu ni wazi
Hata ujenzi holela wa makazi hautakuwepo. Taifa litakuwa safii,
 
1. TCRA wataruhusu mitandao kurudisha video walizolazimisha kuondolewa
2. UVCCM watatoa TAMKO kumuunga Mkono Mwenyekiti wao
3. Wabunge akina Msukuma watamsifia Gwajiboy
Kaka kabla AI haija fahamika zaidi ndiyo video ile ilifanyika lakini kwasababu tayari AI imesha kuwa na umaarufu mkubwa hizo picha haziwezi Tena kuwa na nguvu kwasababu hata Raisi anachorwa na mifumo hii ya AI ikimdhalilisha kama video animation
 
GTs,

Swali la kizushi.

Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, ja hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?
Mgalatia apewe political mileage!? Sahau😂
 
GTs,

Swali la kizushi.

Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, ja hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?
Kuisubiri aibu kutoka kwa wana CCM ni kupoteza muda wako, huwa hawana aibu hao na hii ndio maana halisi ya kuwa na wajinga wengi kwenye chama
 
GTs,

Swali la kizushi.

Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, ja hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?
Last time i check hatofanya chochote.

Majuzi hapa msamaria mwema kaibua wizi , badala ya ku side na whistle blower, yeye ame side na mtuhumiwa

Inaonyesha tu which side yupo
 
Tatizo siyo IGP, tatizo lipo kwa alitemuweka IGP. Hata awekwe IGP malaika kama mteuaji ni yule yule hakuna kitakachobadilika. Mteuaji anawajua watekaji na waopoteza watu
 
Hawezi kumtoa IGP Kwa sababu ndiye humtuma kutekeleza utekaji
 
GTs,

Swali la kizushi.

Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, je hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?

Ibada ya kweli ya kumtukuza Mungu ni ile ambayo inakemea Uovu na kutukuza HAKI na AMANI kwa Watu wote.

Vitendo vya uhalifu mbaya wa kuteka watu, kuwatesa, kuwabaka, kuwalawiti, kuwajeruhi kwa namna mbalimbali ikiwemo na kuwamwagia tindikali, kuwashambulia kimwili na kihisia, kuwekea sumu, na kuua ni vitendo vya UOVU MBAYA WA SHETANI. Yeyote yule anayetenda vitendo hivi au kuunga mkono vitendo hivi viovu, huyo ndiye SHETANI mwenyewe.
Kutenda au kuunga mkono vitendo hivi Viovu ni kufanya Ibada ya Kumtukuza Shetani, na kupinga Vitendo hivi Viovu ni kufanya Ibada ya Kumtukuza Mungu.

Kati ya hawa Watu wawili ambao umewahusisha kwenye hili bandiko lako, Je, Nani atakuwa ni SHETANI na nani atakuwa ni Malaika wa Mungu kwa jinsi unavyowaona wewe Kutokana na matendo yao hao Watu??
 
Back
Top Bottom