1. TCRA wataruhusu mitandao kurudisha video walizolazimisha kuondolewaGTs,
Swali la kizushi.
Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, ja hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?
Hahahaha!GTs,

Vipi,Hiyo haiwezekani.
Kuwaambia walinzi wa Dola kwamba wanalisumbua Taifa?
Rais asijaribu kufanya hivyo .
Kaka kabla AI haija fahamika zaidi ndiyo video ile ilifanyika lakini kwasababu tayari AI imesha kuwa na umaarufu mkubwa hizo picha haziwezi Tena kuwa na nguvu kwasababu hata Raisi anachorwa na mifumo hii ya AI ikimdhalilisha kama video animation1. TCRA wataruhusu mitandao kurudisha video walizolazimisha kuondolewa
2. UVCCM watatoa TAMKO kumuunga Mkono Mwenyekiti wao
3. Wabunge akina Msukuma watamsifia Gwajiboy
Mgalatia apewe political mileage!? Sahau😂GTs,
Swali la kizushi.
Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, ja hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?
Kuisubiri aibu kutoka kwa wana CCM ni kupoteza muda wako, huwa hawana aibu hao na hii ndio maana halisi ya kuwa na wajinga wengi kwenye chamaGTs,
Swali la kizushi.
Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, ja hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?
Last time i check hatofanya chochote.GTs,
Swali la kizushi.
Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, ja hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?
GTs,
Swali la kizushi.
Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na utekaji, je hao wabunge waliotoa mishipa ya aibu wataweka wapi nyuso zao?