Hivi itakuwaje siku Messi na Ronaldo wakachezea timu moja?

Joined
Apr 16, 2020
Posts
47
Reaction score
44
Wapendwa tunaopenda mpira hivi hii hali ya Messi na Ronaldo siku wakachezea timu moja inakuaje hapo?

Wote kuutafuta ubingwa wa mchezaji bora au mfungaji bora katika timu moja?

Watashindana kama walivyo sasa katika timu tofauti?
 
Wapendwa tunaopenda mpira hivi hii hali ya messi na ronaldo siku wakachezea timu moja inakuaje hapo?

Wote kuutafuta ubingwa wa mchezaji bora au mfungaji bora katika timu moja?

Watashindana kama walivyo sasa katika timu tofauti?


Messi ni foward/Attacking midfielder and playmaker...

Cr7 only Striker...



Japo ngumu kutokea...na kama itatokea La pulga ndie atapewa jukumu la kuiongoza timu na upigaji faulo, corners na mazagazaga yote ambayo hakuna mchezaji yeyote alieweza katika maisha yake ya soka may be wakumfuata ni Yo soy el diego Armando Maradona...

Only Penalties cr7 atapewa hilo jukumu...huyu jamaa ni fundi wa penalty...
 
Binafsi nilishafikiria hiki kitu na sijawahi pata majibu hata picha
Mafahali wawili hawakai zizi moja.

Umesahau Neymar alivyoishi pale Barcelona chini ya kivuli cha Messi. Umesahau Neymar huyo huyo baada ya kwenda PSG akawa anagombea ufalme pale na Cavani mpaka kufikia kunyang'anyana mipira ya fouls na penalties.

Simply katika team moja mastaa wakitaka ku shine lazima washirikiane yani pasiwe na uchoyo na umimi.

Kama unakumbuka trio ya Ronaldo, Rooney na Park pale Man U enzi za SAF. Walo strive kwasababu ya ushirikiano wao. Lakini bwana Ronaldo baada ya kutengeneza jina pale ametaka kuwa top yeye kama yeye. Tofauti na Messi ambae ni more of a team player.

Hivyo hawa jamaa ikitokea wakawa teama moja (sio rahisi kutoka na wote wako kwenye "jioni" ya career zao). Basi lazima Ronaldo apotee na ataishi kama Neymar chini ya kivuli cha Messi.
 
Ronaldo pia ni attacking midfielder.
Hao wote walikuwa wingers katika early stages zao za soka.

Wakicheza katika timu moja atakayefunga zaidi ni Ronaldo kwa sababu Messi atalazimika kucheza False No 9 au CAM hii itamfanya kucheza deep kuliko Ronaldo ambaye atakuwa ana rom kwenye final third upande wa kushoto.

Kaangalie jinsi BBC walivyokuwa wanacheza na kaangalie jinsi MSN walivyokuwa wanacheza.

Mechi zote Messi hajawahi kucheza kama central striker perse na kuwa target man hata Ronaldo hajawahi kucheza kama central striker perse as a target man.

Nani atafunga zaidi ? Obviously ni Ronaldo maana Messi anacreate chances nyingi sana za kufunga kuliko mwenzake na Ronaldo ndiye atakayekuwa karibu zaidi na goli kuliko Messi hizo corner zote atakazopiga Messi zitaishia kwenye kichwa za jamaa.

Messi atanufaika na Ronaldo kwenye kitu kimoja tu Space maana Ronaldo anaweza kuwa marked zaidi kwenye final third leaving Messi a free space to strike.

Mawazo ya baharia mmoja kutoka Buza aliyeshiba makande ya Mama Kiponza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] makande tena duuh[emoji1787]
 
Nadhani kwa afya ya soka, career za wachezaji husika, manufaa kwa klabu na namna ya kocha kuingoza klabu...hawa jamaa sio rahisi wakacheza timu moja.

Kwa maoni yangu, nadhani ukiwaweka timu moja utaweza kupata only half Cr7 and half Messi. Ukiwaangalia wote wanapocheza wanapewa uhuru wa kufanya wanachoona kinafaa wawapo uwanjani (free role), na kwa muundo huo team wanazochezea zinapata 'the best out of them'.

Kuwa na team moja uwe na free player wawili ni almost impossible. Hawa ni wachezaji wawili wanaofananishwa sana japo hawafanani kwa mambo mengi sana technically.

Tunaweza kulinganisha attributes zao i.e sprints,goal scoaring,dribbling ability,dribbling past defenders,assisting,team support,dealing with set pieces and dead balls,tactical and technical disciplines etc etc but everyone of them has a different way of doing them.
 
Wapendwa tunaopenda mpira hivi hii hali ya messi na ronaldo siku wakachezea timu moja inakuaje hapo?

Wote kuutafuta ubingwa wa mchezaji bora au mfungaji bora katika timu moja?

Watashindana kama walivyo sasa katika timu tofauti?
Ronaldo usimfafanishe na viumbe wa ajabu
Hata akicheza timu moja na huyo boya Ronaldo ataendeleza ufundi na ufalme wake ktk soka duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…