Nadhani kwa afya ya soka, career za wachezaji husika, manufaa kwa klabu na namna ya kocha kuingoza klabu...hawa jamaa sio rahisi wakacheza timu moja.
Kwa maoni yangu, nadhani ukiwaweka timu moja utaweza kupata only half Cr7 and half Messi. Ukiwaangalia wote wanapocheza wanapewa uhuru wa kufanya wanachoona kinafaa wawapo uwanjani (free role), na kwa muundo huo team wanazochezea zinapata 'the best out of them'.
Kuwa na team moja uwe na free player wawili ni almost impossible. Hawa ni wachezaji wawili wanaofananishwa sana japo hawafanani kwa mambo mengi sana technically.
Tunaweza kulinganisha attributes zao i.e sprints,goal scoaring,dribbling ability,dribbling past defenders,assisting,team support,dealing with set pieces and dead balls,tactical and technical disciplines etc etc but everyone of them has a different way of doing them.