Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaa vya kawaida muziki mzuri..Wakuu ninahitaji nije kufungua studio ya kurekodi mziki wa Gospel tu, ninahitaji studio ndogo tu yenye vifaa vya kawaida ambavyo vitarekodi mziki mzuri.
Niandae bajeti kiasi gani kwa anayejua na pia kama nikitajiwa vifaa muhimu nitashukuru.
We jamaa ubarikiwe.PC full SCREEN 24" TSZ 550,000/=
SOUND CARD Njia 8 TZS 1,000,000/=
SOUND CARD Njia 2 TZS 400000/=
MIC CONDENSOR TZS 350,000/=
MONITOR SPEAKER yamaha HS8 TSZ 1,500,000
MONITOR SPEAKER M audio TZs 600,000/=
MID KEYBOAD TZS 400,000
Cable connectio na stand ya MIC TZS 100,000/=
MIXER njia 8 TZS 500000/=
MIXER njia 2 TZS 200,000/=
HEARDPHONE zinaanzia TZS 500,000/=
Ila bora zaidi zin aanzia Tzs 150,000/=
Kiugumu ugumu km ulivyosema ya bei ndogo kuingiza sauti mmojamoja mana kwata km band vifaa inamaana unatumia MIXER njia 2 na sound card njia 2 monitorya bei poa M audio
Vifaa pekee vyote si chini ya mln 3 hapo ushakamilisha vifaa vyote pamoja n software installation
Itabaki chumba cha kukipimp ambapo inategemea na unavyotaka
Zaidi nicheck 0620552992
Mkuu nitakupinga baadhi ya mambo hapo, ila ni katika kujaribu kupeana elimu ya mambo ya utayarishaji wa muziki,PC full SCREEN 24" TSZ 550,000/=
SOUND CARD Njia 8 TZS 1,000,000/=
SOUND CARD Njia 2 TZS 400000/=
MIC CONDENSOR TZS 350,000/=
MONITOR SPEAKER yamaha HS8 TSZ 1,500,000
MONITOR SPEAKER M audio TZs 600,000/=
MID KEYBOAD TZS 400,000
Cable connectio na stand ya MIC TZS 100,000/=
MIXER njia 8 TZS 500000/=
MIXER njia 2 TZS 200,000/=
HEARDPHONE zinaanzia TZS 500,000/=
Ila bora zaidi zin aanzia Tzs 150,000/=
Kiugumu ugumu km ulivyosema ya bei ndogo hvyo kuingiza sauti mmojamoja mana kwamba kwaya km band vifaa inamaana unatumia MIXER njia 2 na sound card njia 2 monitor ya bei poa M audio
Vifaa pekee vyote si chini ya mln 3 hapo ushakamilisha vifaa vyote pamoja na software installation
Itabaki chumba cha kukipimp ambapo inategemea na unavyotaka
Zaidi nicheck 0620552992
Mkuu, kwa studio ya kawaida utahitaji bajeti ya milioni 10 hadi 13 mpaka kukamilika kwake na float balance ya miezi kadhaa baada ya kuifungua studio.Wakuu ninahitaji nije kufungua studio ya kurekodi mziki wa Gospel tu, ninahitaji studio ndogo tu yenye vifaa vya kawaida ambavyo vitarekodi mziki mzuri.
Niandae bajeti kiasi gani kwa anayejua na pia kama nikitajiwa vifaa muhimu nitashukuru.
Unaweza ainisha na bei japo kwa makadirio mkuu?Mkuu nitakupinga baadhi ya mambo hapo, ila ni katika kujaribu kupeana elimu ya mambo ya utayarishaji wa muziki,
Studio ndogo ya kurekodi muziki huhitaji mixer kwa sababu sauti hutumia conversion ya sound card. Na pia suala la monitor speakers sio kwa bei hiyo unayosema kwa sababu uwezo wa monitor ndio utaamua output ya muziki wako, kwa mfano ukitumia hizi m audio hutapata output nzuri kama anyetumia yamaha au krk rokit. Pia uwezo wa computer katika kuhimili vst/au/aax plug in ni kipaumbele namba moja. Hivyo fedha kubwa itumike kwa vipaumbele vifuatavyo:
1.monitor speakers
2.computer pamoja na software plugins zake
3.Mic na audio interface
4. acoustic treatment
5.vinginevyo
Hii kwa bongo siyo studio ya kawaida mkuu kwa hiyo bei ni studio kubwa maana maproducer wengi walianzisha studio kama s2kizzy bajet zao zilikuwa milion 8-10.Mkuu, kwa studio ya kawaida utahitaji bajeti ya milioni 10 hadi 13 mpaka kukamilika kwake na float balance ya miezi kadhaa baada ya kuifungua studio.
Ni pm kwa ushauri zaidi.
Hebu nipe maelezo mkuu maana nishaona studio nyingi hazina mixer zina sound card tu jambo ambalo uwa linanishangaza, naomba maelezo maana wa kuanzia ninataka funguo studio ndogo ya kurekodi nyimbo za gospel siyo za kwaua kubw hapana bali hizi za main streamkama za akina goodlucky gosbert ambazo kiukweli hazina tofauti na bongo fleva hayo ya kwaya yatakuja baadaeMkuu nitakupinga baadhi ya mambo hapo, ila ni katika kujaribu kupeana elimu ya mambo ya utayarishaji wa muziki,
Studio ndogo ya kurekodi muziki huhitaji mixer kwa sababu sauti hutumia conversion ya sound card. Na pia suala la monitor speakers sio kwa bei hiyo unayosema kwa sababu uwezo wa monitor ndio utaamua output ya muziki wako, kwa mfano ukitumia hizi m audio hutapata output nzuri kama anyetumia yamaha au krk rokit. Pia uwezo wa computer katika kuhimili vst/au/aax plug in ni kipaumbele namba moja. Hivyo fedha kubwa itumike kwa vipaumbele vifuatavyo:
1.monitor speakers
2.computer pamoja na software plugins zake
3.Mic na audio interface
4. acoustic treatment
5.vinginevyo
Wakuu ninahitaji nije kufungua studio ya kurekodi mziki wa Gospel tu, ninahitaji studio ndogo tu yenye vifaa vya kawaida ambavyo vitarekodi mziki mzuri.
Niandae bajeti kiasi gani kwa anayejua na pia kama nikitajiwa vifaa muhimu nitashukuru.
Ngoja nifanye mchakato halafu nitarudi humu kumtafuta producer tuje tugonge nyimbo za kumsifu BwanaStudio ya mziki ukiwa na milion 5 unasuka studio kali sana.. studio ya mziki sio gharama kabisa hata milion 3 inatosha kusuka studio
Kwa makadirio ni kama ifuatavyo:
Mkuu, mimi namiliki studio ambayo vifaa vyenyewe ilinigharimu almost milioni saba kuvinunua na hadi sasa vipo na vinafanya kazi. Ukisema ununue vifaa kwa bei rahisi utaingia hasara kupeleka kwa fundi kila siku au kutoa muziki usio na ubora wowote. Hayo mambo ya akina s2kizzy ni flexing za mitandaoni usiziamini sana.Hii kwa bongo siyo studio ya kawaida mkuu kwa hiyo bei ni studio kubwa maana maproducer wengi walianzisha studio kama s2kizzy bajet zao zilikuwa milion 8-10.
Hiyo hela itaishia kununua vifaa tu, tena hapo kwa kucompromise vile vifaa vya bei rahisi kariakoo.Studio ya mziki ukiwa na milion 5 unasuka studio kali sana.. studio ya mziki sio gharama kabisa hata milion 3 inatosha kusuka studio
Sijaelewa unapinga nini mkuuMkuu nitakupinga baadhi ya mambo hapo, ila ni katika kujaribu kupeana elimu ya mambo ya utayarishaji wa muziki,
Studio ndogo ya kurekodi muziki huhitaji mixer kwa sababu sauti hutumia conversion ya sound card.
Na pia suala la monitor speakers sio kwa bei hiyo unayosema kwa sababu uwezo wa monitor ndio utaamua output ya muziki wako, kwa mfano ukitumia hizi m audio hutapata output nzuri kama anyetumia yamaha au krk rokit.
Pia uwezo wa computer katika kuhimili vst/au/aax plug in ni kipaumbele namba moja. Hivyo fedha kubwa itumike kwa vipaumbele vifuatavyo:
1.monitor speakers
2.computer pamoja na software plugins zake
3.Mic na audio interface
4. acoustic treatment
5.vinginevyo
Sawa mkuu nitafanyia kazi nitakuja kuleta mrejesho studio ikishakuwa tayariMkuu, mimi namiliki studio ambayo vifaa vyenyewe ilinigharimu almost milioni saba kuvinunua na hadi sasa vipo na vinafanya kazi. Ukisema ununue vifaa kwa bei rahisi utaingia hasara kupeleka kwa fundi kila siku au kutoa muziki usio na ubora wowote. Hayo mambo ya akina s2kizzy ni flexing za mitandaoni usiziamini sana.
Dhana ya kuwa na mixer studio ilikuwa kuingeza nguvu ya muziki kwenye speaker na kwa vile speaker za zamani zilikuwa passive zilitegemea source ya power kupitia hiyo mixer. Kwa sasa muziki ni digital (au in the box) huhitaji kuwa na mixer au amp kwa sababu sound card inafanya digital to analog conversion kati ya sauti (ambayo kiuhalisia ni analog) kuwa digital ilo isomeke na computer. Hivyo hauhitaji kuwa na mixer kabisa.Hebu nipe maelezo mkuu maana nishaona studio nyingi hazina mixer zina sound card tu jambo ambalo uwa linanishangaza, naomba maelezo maana wa kuanzia ninataka funguo studio ndogo ya kurekodi nyimbo za gospel siyo za kwaua kubw hapana bali hizi za main streamkama za akina goodlucky gosbert ambazo kiukweli hazina tofauti na bongo fleva hayo ya kwaya yatakuja baadae