Mwendazake aliongeza 3000 dah ila 😂😂Nyongeza yako 70000 sio haba
Sio makange kiswahili sanifu ni makaangeHivi izo asilimia za nyongeza zinaongezwa mwezi gani woooooiiiiii tupate Hela kidogo ya makangi
Ni formula ipi wanatumia kuongeza izo asilimia ili nijue kabisa namna ya kubadili kiwanja Cha bata
Ila nini dada? Ushaanza unafiki. Ushavunja ungo weweMwendazake aliongeza 3000 dah ila 😂😂
UkoapiWaraka wameshautoa umeuona lkn.
Dah au sio mi mwamba mzeeIla nini dada? Ushaanza unafiki. Ushavunja ungo wewe
Ipi tafsiri hasa ya Makange?Hivi izo asilimia za nyongeza zinaongezwa mwezi gani woooooiiiiii tupate Hela kidogo ya makangi
Ni formula ipi wanatumia kuongeza izo asilimia ili nijue kabisa namna ya kubadili kiwanja Cha bata
Uko wapi mkuu warakaWaraka wameshautoa umeuona lkn.