Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Jack pemba mbwembwe hakuanza leo. Nakumbuka mwanzoni ya miaka ya 2000 ktk birthday ya Auntezekiel aligawa 5000/= kwa kila aliehudhuria sherehe hiyo iliyofanyika Kinondoni. Miongoni mwa waliohudhria akiwemo marehemu Medy, Dr Rama na mapapa kibao. Hebu pata picha walizipokea?