Hivi Jack Pemba ni tapeli?

Hivi Jack Pemba ni tapeli?

Cheni kubwa namna Ile anafanya kazi gani kama sio kuuza sura
 
Nahisi atakua mpemba au mngazija. Hawa Mara nyingi ni wavuvi au wachuuzi.
 
Kwani we umelisikia wapi hilo jina, maana mi ndo kwanza leo nalisikia kwako, labda tuanzie hapo!
 
Back
Top Bottom