Hivi Jaji hawezi kufanya maamuzi juu ya pingamizi papo kwa hapo?

Hivi Jaji hawezi kufanya maamuzi juu ya pingamizi papo kwa hapo?

Taeyong

Senior Member
Joined
Sep 29, 2019
Posts
160
Reaction score
206
Wanasheria na wadau mnaofahamu naomba mrejesho juu ya kichwa cha habari hapo juu. Kwanini Jaji hawezi kutoa maamuzi ya papo kwa hapo au ndio sheria inavyotaka?

Ili kufanya maamuzi madogo lazima ahirishe shauri kwa siku nzima?
 
mkuu Sheria niswala la rejea Tena zakiduniani tofautisha na kiswahili au nomino ni nn
 
Back
Top Bottom