Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Huwaga sipendangi mwanaume wa kupiga mapicha picha namuogopa sanaa!!!
Ni kweli, ila kuna watu roho ngumu na yeye mmojawapo.
Ebu fikiria kuna mangapi kayafanya ambayo hayakuvuja.
Kikubwa tujifunze kulingana na hii sinema, maana ina mafunzo mengi sana ndani