Hivi jamani hakuna matibabu ya sicle cell kabisa hata ya njia za asili?

Hivi jamani hakuna matibabu ya sicle cell kabisa hata ya njia za asili?

Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake.

Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital

Mpaka familia inaona hakuna namna
Uende hospitali ya Benjamin mkapa Dodoma utapewa utaaratibu wa matibabu -Bone marrow transplantation .
 
Yapo nenda muhimbili nilimsikua daktari wa TZ anahojiwa BBC kuhusu hiyo dawa, alikuwa Dkt w kike yaani TZ ndio wamegundua hiyo dawa ilikuwa mwaka juzi. Fuatilia
 
Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake.

Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital

Mpaka familia inaona hakuna namna
Khabari yako??
Pole sanaa kwa kuugiza.
Zipo dawa za asili zinazotibu maradhi hayo ya sickle cell, ukizihitaji wasiliana nami
0656303019
Ama
0655821550
 
Back
Top Bottom