C chala41 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2024 Posts 300 Reaction score 606 Jul 31, 2024 #1 Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake. Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital Mpaka familia inaona hakuna namna
Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake. Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital Mpaka familia inaona hakuna namna
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Jul 31, 2024 #2 duu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 31, 2024 #3 Poleni sana... Cc: Mahondaw
Nehemia Kilave JF-Expert Member Joined Jan 9, 2022 Posts 1,414 Reaction score 3,118 Jul 31, 2024 #4 chala41 said: Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake. Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital Mpaka familia inaona hakuna namna Click to expand... Uende hospitali ya Benjamin mkapa Dodoma utapewa utaaratibu wa matibabu -Bone marrow transplantation .
chala41 said: Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake. Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital Mpaka familia inaona hakuna namna Click to expand... Uende hospitali ya Benjamin mkapa Dodoma utapewa utaaratibu wa matibabu -Bone marrow transplantation .
Baba Vladmir JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 373 Reaction score 627 Aug 12, 2024 #5 Matibabu ya sickle cell yapo na mtu anapona kabisa.
P Phaul JF-Expert Member Joined Jun 30, 2023 Posts 295 Reaction score 551 Aug 12, 2024 #6 Yapo nenda muhimbili nilimsikua daktari wa TZ anahojiwa BBC kuhusu hiyo dawa, alikuwa Dkt w kike yaani TZ ndio wamegundua hiyo dawa ilikuwa mwaka juzi. Fuatilia
Yapo nenda muhimbili nilimsikua daktari wa TZ anahojiwa BBC kuhusu hiyo dawa, alikuwa Dkt w kike yaani TZ ndio wamegundua hiyo dawa ilikuwa mwaka juzi. Fuatilia
Herbalist Mtaturu Senior Member Joined Aug 17, 2023 Posts 156 Reaction score 237 Aug 19, 2024 #7 chala41 said: Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake. Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital Mpaka familia inaona hakuna namna Click to expand... Khabari yako?? Pole sanaa kwa kuugiza. Zipo dawa za asili zinazotibu maradhi hayo ya sickle cell, ukizihitaji wasiliana nami 0656303019 Ama 0655821550
chala41 said: Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake. Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital Mpaka familia inaona hakuna namna Click to expand... Khabari yako?? Pole sanaa kwa kuugiza. Zipo dawa za asili zinazotibu maradhi hayo ya sickle cell, ukizihitaji wasiliana nami 0656303019 Ama 0655821550