Hivi jamani hakuna part time toyote tufanye njaa zimezidi mjini

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
Wana jf kama kuna mtu ana mchongo wa part time wowote mjini tushirikishane bana
maana njaa zinaua
 
Poleni sana ndugu yangu nikipata ntakushirikisha mkuu ila dont gve up coz there is always hope
 
tanx sana bana maana hii nchi yetu ndo ivyo tena hamna unafuu wowote bwana bora ujishikize maana ata ukisema ukimbie mjini utaenda wp
 
Pole mkuu kama vipi tafuta sekondari upige shule hukohuko kitanyooka
 
Asieee! Pole sana kamanda. Ila mkuu next time title uwe unaziandika kwa namna nzuri kidogo maana wengine vicheko vyetu viko karibu karibu sana. usijali mkuu Mungu yupo, atakusaidia, endelea kuomba na kujaribu
 
Wana jf kama kuna mtu ana mchongo wa part time wowote mjini tushirikishane bana
maana njaa zinaua

unaweza kuvaa tai kwenye jua kali na kutembeza vyombo vya promosheni.
 
Asieee! Pole sana kamanda. Ila mkuu next time title uwe unaziandika kwa namna nzuri kidogo maana wengine vicheko vyetu viko karibu karibu sana. usijali mkuu Mungu yupo, atakusaidia, endelea kuomba na kujaribu
kweli,huyu jamaa hayupo makini kabisa,nathani hata hiyo kazi sijui kama atapata na akipata ataharibu tu,hiyo taito imenitoa kwenye mudi ya kumpa ushauri kwa kicheko
 
kweli,huyu jamaa hayupo makini kabisa,nathani hata hiyo kazi sijui kama atapata na akipata ataharibu tu,hiyo taito imenitoa kwenye mudi ya kumpa ushauri kwa kicheko

Kama unao Ushauri we mpe tu,inawezekana ana stress mpaka anashindwa ku-type vizuri,sema nae,msaidie kama una taarifa yeyote ya fursa!!
 
kila mja na siku yake ,yako haijafika ,dont give up its coming.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…