Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Wana jf kama kuna mtu ana mchongo wa part time wowote mjini tushirikishane bana
maana njaa zinaua
maana njaa zinaua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jf kama kuna mtu ana mchongo wa part time wowote mjini tushirikishane bana
maana njaa zinaua
kweli,huyu jamaa hayupo makini kabisa,nathani hata hiyo kazi sijui kama atapata na akipata ataharibu tu,hiyo taito imenitoa kwenye mudi ya kumpa ushauri kwa kichekoAsieee! Pole sana kamanda. Ila mkuu next time title uwe unaziandika kwa namna nzuri kidogo maana wengine vicheko vyetu viko karibu karibu sana. usijali mkuu Mungu yupo, atakusaidia, endelea kuomba na kujaribu
kweli,huyu jamaa hayupo makini kabisa,nathani hata hiyo kazi sijui kama atapata na akipata ataharibu tu,hiyo taito imenitoa kwenye mudi ya kumpa ushauri kwa kicheko
Jieleze vizuri una uzoefu katika lipi?