Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh! wajameni mi mwenzenu nilikuwa napenda ile tamthiliya ya tausi kutoka KBC kenya si mnawakumbuka akina Mponda, kilonzo, Dama, Joto, Kibibi, Mjuba??? na wengine???:A S tongue:
aaaah Zebedi na yeye bana...........!!!!
Zebedii ni baba wa aina yake aisee
mitamthilia yenyewe haiishi inakula muda wa watu tuu. mirfu kama nini. bora muvi za kinaijeria unaangalia saa moja kwishnei. ila nakumbuka enzi hizo nikiwa chalii Moshi huko. Tv ya black & white unapata KBC tu. kulikuwa na tamthilia mbili; No One But You na The Rich Also Cry. japo sikujua kizungu zilikuwa zinafurahisha tu. kuna mdau alibahatika kuziona hizo?

mzee mzima haoni hii ni incest kabise aisee???? afu ana moyo eti bado anaenda kuleta nyodo kwa Agnes
..Linda!ooh yeah kale kabinti kadogo kalikuwa kanaitwaje vile???
Wale wana maisha yao wenyewe. Ma Agnes ananifurahishaga sana smtimes anavyomkimbizaga Zabedii akimletea ujinga
Ndio maana watu wengi tunatizama seasonally.....yaani toka ilivyoanza kuonyeshwa mpaka leo haliishi tu. Mi hizo ulizosema hata sijawahi kuzisikia....ila kwa kweli nilipenda sana tamthiliya ya "the promise" na "la mujer de mivida".......hizi tamthiliya zilikuwa bomba sana.
..Linda!
..Linda!
yeah, n the Baraza guy............
yule Siti alifariki eeh??
..inasemekana ali-commit suicide!!yeah, n the Baraza guy............
yule Siti alifariki eeh??
Haya ngoja tujumuike tu huku...kuna yule mdada nadhani ni askari na alikuwa na mahusiano ya mapenzi na Rajesh nimeangalia jana anaonekana ana ujauzito hivi ni wa Rajesh au nani.kiufupi huwa ananivutia sana ingawa na jina lake silijui..