BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,474 Reaction score 4,039 Jul 26, 2010 #81 Yegomasika said: Mimi hizo lips tu ahh, mashaalaah~nabada ushungu moyoni!. Click to expand... Yego, umenichekesha naona mpaka umechapia kuandika!..au msamiati mpya huo..ha ha
Yegomasika said: Mimi hizo lips tu ahh, mashaalaah~nabada ushungu moyoni!. Click to expand... Yego, umenichekesha naona mpaka umechapia kuandika!..au msamiati mpya huo..ha ha
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,255 Jul 26, 2010 #82 BelindaJacob said: Yego, umenichekesha naona mpaka umechapia kuandika!..au msamiati mpya huo..ha ha Click to expand... Hujawahi kukutana na hilo neno, aah Belinda bana!.
BelindaJacob said: Yego, umenichekesha naona mpaka umechapia kuandika!..au msamiati mpya huo..ha ha Click to expand... Hujawahi kukutana na hilo neno, aah Belinda bana!.
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,474 Reaction score 4,039 Jul 26, 2010 #83 Yegomasika said: Hujawahi kukutana na hilo neno, aah Belinda bana!. Click to expand... Mweeh!sijawahi kulisikia,kumbe we upo dip kwenye lugha yetu!..
Yegomasika said: Hujawahi kukutana na hilo neno, aah Belinda bana!. Click to expand... Mweeh!sijawahi kulisikia,kumbe we upo dip kwenye lugha yetu!..
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,255 Jul 26, 2010 #84 BelindaJacob said: Mweeh!sijawahi kulisikia,kumbe we upo dip kwenye lugha yetu!.. Click to expand... Mmmh ndio na hizo lipstick umeziongezea au aah!.
BelindaJacob said: Mweeh!sijawahi kulisikia,kumbe we upo dip kwenye lugha yetu!.. Click to expand... Mmmh ndio na hizo lipstick umeziongezea au aah!.
Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,153 Reaction score 2,647 Jul 31, 2010 #85 Kwa yeyote anayetaka kuangalia The Promise ya Wafilipino anaweza kuicheki kupitia Citizen tv ya Kenya,kuanzia saa 12:00 jioni.
Kwa yeyote anayetaka kuangalia The Promise ya Wafilipino anaweza kuicheki kupitia Citizen tv ya Kenya,kuanzia saa 12:00 jioni.