Hivi jamani mtunduizi kaka mkubwa "The Boss" huwa anaonekana hapa JF?

Hivi jamani mtunduizi kaka mkubwa "The Boss" huwa anaonekana hapa JF?

Hawa diara katoka golini hawa
Daah mkuu umenikosea sana...

"Perceptions" zako zimekupeleka siko pal !

Sikuweka "post" kwa hizo fikra za kishetani ?!!

Anyways usilolijua ni sawa na usiku wa giza....

Namheshimu kila mmoja humu hata ndugu Cocastic...mengine ni yake yeye ya ubinafsi* wake [emoji1787]

#Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
 
Sawa mkuu wangu...

Wa kiume haswa mwenye kupenda amani na ustawi kwa kila mtu...

Moyo wangu hauna chuki ndio maana emoji nyingi....kwani unataka kunishauri nini juu yake ?!!
Ushauri juu yake sina, ila kama mama huwa tunawashauri watoto wetu hawa GenZ wasitumie sana emoj, tena kwenye conversation na mwanaume mwenzie.

Kila la heri.
 
Back
Top Bottom