chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Mimi wizara iko kimyaa kuhusu hili swala. Usalama wa hawa watoto ni mdogo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Kwa mwalimu mwambie wa kwangu mwisho saa nane arudi nyumbani,form four bording mwisho wa kusoma ni saa 4 usiku ,darasa la nne anapaswa kutoka saa nane .Anasoma nini maana nimeangalia mtihani wa darasa la Saba ni kujumlisha kutoa kuzidisha na kugawanya.Kuna shule moja ipo mwanza ambako mwanangu anasomea..nimeshangazwa na taharifa ya Mwalimu Mkuu wa iyo shule akiwataka Wazazi kuanza kuwaijia watoto wao shule.
Hii imetokana na kubadilika Kwa ratiba za masomo Kwa wanafunzi kwamba wanapaswa kusoma mpaka muda wa saa tatu usiku kuendana na maandalizi ya mitihani yao.
Kwakweli sikukubaliana na iyo hoja kwani ilinivurugia ratiba yangu ya maisha Kwa ujumla.
Na nikajiuliza hayo masomo ambayo mtoto wa darasa la nne anasoma ni magumu kiasi gani Cha kuitaji msuli mkubwa hivyo.
Kiasi kwamba mtoto anapotoka Shule hawezi Fanya lolote nyumbani hata homework zake..anaishia kulala tu na kachoka ballaha.
Sasa najiuliza hizi taratibu za shule za day kusoma mpaka saa tatu usiku mamlaka wanajua au mpaka paje patokee majanga ya kimaadili au watoto kufanyiwa vitendo viovu nyakati hizo za usiku...!
Hii sio sawa....watoto wana haki pia ya kupumzika na kucheza sio kusoma mfululizoKuna shule moja ipo mwanza ambako mwanangu anasomea, nimeshangazwa na taharifa ya Mwalimu Mkuu wa iyo shule akiwataka Wazazi kuanza kuwaijia watoto wao shule.
Hii imetokana na kubadilika Kwa ratiba za masomo Kwa wanafunzi kwamba wanapaswa kusoma mpaka muda wa saa tatu usiku kuendana na maandalizi ya mitihani yao.
Kwakweli sikukubaliana na iyo hoja kwani ilinivurugia ratiba yangu ya maisha Kwa ujumla.
Na nikajiuliza hayo masomo ambayo mtoto wa darasa la nne anasoma ni magumu kiasi gani Cha kuitaji msuli mkubwa hivyo.
Kiasi kwamba mtoto anapotoka Shule hawezi Fanya lolote nyumbani hata homework zake..anaishia kulala tu na kachoka ballaha.
Sasa najiuliza hizi taratibu za shule za day kusoma mpaka saa tatu usiku mamlaka wanajua au mpaka paje patokee majanga ya kimaadili au watoto kufanyiwa vitendo viovu nyakati hizo za usiku...!
Nilichokigundua Kwa walimu wa sasa na wamiliki wa hizi shule ni kwamba..Hii sio sawa....watoto wana haki pia ya kupumzika na kucheza sio kusoma mfululizo
Huu ndo ukweli wenyewe.Unaweza kufikiri Mwalimu anapigania ufaulu na maendeleo ya mwanao.
BIG NO.
Hapo anapigana alama na ufaulu wa juu kwa manufaa yake na hajali chochote kuhusu mwanao.
Ova.