Hivi jamani tabata Pana ishu gani MPAka pajengwe mwendokasi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Hakuna viwanda
Hakuna taasisi
Hakuna vyuo
Hakuna chochote
Hakuna ubalozi
Hakuna cha maana
Hakuna mall kubwa
Hakuna stand kubwa

Sasa iweje pajengwe mwendokasi hizo fedha si heri zikafanye ishi nyingine..ila Sina uhakika kama KWELI Kuna huo mpango wa mradi ila nilimsikia Mad Max akisema KWAMBA tabata itapoa mwendokasi ukianza kujengwa...ila akumbuke kinondoni mradi ulikuwa ukiendelea na watu wakila Bata.
 
Kuna mashangaz yenye mikia..tafuta pesa upande mwendokasi uje
 
mbagala ,Gogo la mboto na Kimara kuna nini?
 
Kuna mashangaz yenye mikia..tafuta pesa upande mwendokasi uje
Ok
Ila nimegundua pia tabata kubwa sana unaenda mpk gongo la mboto pia MPAka bonyokwa to kimara..kimanga kisukuru mpk segerea
 
Unamaanisha tabata hii hii ya wala bata au tabata ya mkoani.?
 
Acha wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…