Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha gubu wewe. Hujaelewa nini hapo toka kwa Dada Mwalimu.😂🤣🤣😀😃😆😄Umeandika nini sasa?
Mods futeni huu upumbavu.
😳😳kwa kweli Leo umenifumbua machoKila Mungu ana kanda yake, yaani alipotengenezwa. Yahweh alitengenezwa na waisraeli kwahiyo lazima awe na upendeleo kwa waisraeli, sijui unanielewa?
Yaani Mungu ni mhusika wa kufirika, ni kazi ya fasihi.... Ndo maana unaona Allah amekaa kiarabu hata waislamu ibada zao wanatumia kiislamu.
Ndo ninachokupendea kwa kweli.Mulemule cute❤Bustani ya Eden ilikuepo Tanzania, mkoa wa Arusha😂
Mungu alimuumba binadamu wa kwanza Tanzania.
"Ugunduzi wa fuvu la binadamu wa kwanza ulitokea saa nne asubuhi Julai 22, 1959 Olduvai George, ukifanywa na Dr.Louis Leakey na mkewe Mary"
Ukisha kubaliana na hili basi pia ukubaliane na sayansi juu ya uumbikaji wa binadamu kuwa ana share ancestor na chimpanzee na sio anatokana na uumbikaji wa Adam!Bustani ya Eden ilikuepo Tanzania, mkoa wa Arusha😂
Mungu alimuumba binadamu wa kwanza Tanzania.
"Ugunduzi wa fuvu la binadamu wa kwanza ulitokea saa nne asubuhi Julai 22, 1959 Olduvai George, ukifanywa na Dr.Louis Leakey na mkewe Mary"
Sound tu hizoBustani ya Eden ilikuepo Tanzania, mkoa wa Arusha😂
Mungu alimuumba binadamu wa kwanza Tanzania.
"Ugunduzi wa fuvu la binadamu wa kwanza ulitokea saa nne asubuhi Julai 22, 1959 Olduvai George, ukifanywa na Dr.Louis Leakey na mkewe Mary"
NdioLabda Tanzania ndiyo taifa teule?
Naunga mkono hoja [emoji1787][emoji16][emoji16]Bustani ya Eden ilikuepo Tanzania, mkoa wa Arusha[emoji23]
Mungu alimuumba binadamu wa kwanza Tanzania.
"Ugunduzi wa fuvu la binadamu wa kwanza ulitokea saa nne asubuhi Julai 22, 1959 Olduvai George, ukifanywa na Dr.Louis Leakey na mkewe Mary"