HIVI JAMII FORUM INA OPTION YA KUFUTA "UZI" WA NYUMA?

HIVI JAMII FORUM INA OPTION YA KUFUTA "UZI" WA NYUMA?

😅😅kumbe mkiwa naandika mna tujukunje I wonder
Bora miaka hii Kuna AI, miaka ya nyuma ukiwa unachangia hoja humu sharti uwe na kamusi pembeni, vitabu vya kurehelea n.k Ili usilete hoja dahifu.

Tena kipindi kila hauruhusiwi kwenda nje ya mada kupumbavu maana unaweza kula bani kiroho safi tu.
 
Nenda kwenye edit futa maandishi yote kisha sevu.

Lakini kama kuna mtu alikuquote hiyo imekula kwako content itabaki palepale.
Msipende sana kuchezea uzi huko nyuma tabu ndio km hizi mnazozipata kuna fursa mtu kaona ataikosa kwa sababu huko nyuma aliingiza uzi ambao sasa akiweka masuala yake watu wakaacha kuangalia records zake za matukio ya nyuma wabakie midomo wazi hivi kweeli ndio huyu aliandikaga hivi leo anasema hivi ndio huyu au mwingine?
 
Back
Top Bottom