Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ni muhimu sana kua huru kufuatilia au kutokufuatilia maandiko ya wadau bila mihemko, chuki wala makasiriko..Siku hizi kumekuwa na uwandikaji mwingi wa machapisho ambayo hayana/umuhimu maana kiasi yanapoteza ladha ya kukaa jukwaani
hata hivyo,
ukihisi maandiko ya wadau hayana umuhimu kwako, jitahidi basi wewe kuja na bandiko zenye mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine kwa faida ya wadau wa JF🐒