ni muhimu sana kua huru kufuatilia au kutokufuatilia maandiko ya wadau bila mihemko, chuki wala makasiriko..Siku hizi kumekuwa na uwandikaji mwingi wa machapisho ambayo hayana/umuhimu maana kiasi yanapoteza ladha ya kukaa jukwaani
Asante kwa ya leoMtoa mada kama ulitaka JF iingie kwenye mfumo wako basi jua ya kwamba wewe ndiye unayetakiwa kuzama kwenye mfumo wake.
Ni hayo tu Kwa leo.
HahahahaAsante kwa ya leo
kesho waza nje ya box ndoushushe koment sio kila mada lazima uchangie chagua kuwa mfatiliaji pia
hakuna maali nimesema nimelazimishwa kuwepo apaNo one has forced you to be here.
If you can't stand the heat, Log out.
Jamii forums imekupa option yaku log out.
Acha kupangia watu maishatatizo nauli ndosababu umeshukia hichi kituo
na ndio sababu majukwaa yako tofauti ila sasa tatizo mambo mengi mwanzo naanza kutumia Jamii forum nilikuwa napita kila jukwaa ila siku hizi naishia trending sababu iyo trending inamaliza nguvu natoka kabisaLazima jf ichangamshwe tutoane stress,habari ziwe mixxx lakini sio mix by yas
"bila mihemko, chuki wala makasiriko.."ni muhimu sana kua huru kufuatilia au kutokufuatilia maandiko ya wadau bila mihemko, chuki wala makasiriko..
hata hivyo,
ukihisi maandiko ya wadau hayana umuhimu kwako, jitahidi basi wewe kuja na bandiko zenye mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine kwa faida ya wadau wa JFπ
Kwanza wameifuta
Sawahii siti ulochagua Safi sana
hekima imekuelekeza kuchagua kilicho bora kabisa,"bila mihemko, chuki wala makasiriko.."
kuhoji kwangu wewe umeona chuki mihemko na makasiriko.
Kwa heshima ya maisha nje ya keyboard apa nachagua kukaa kimya
Pale kwenye story of change watu wanaandika kwa kweliMexence akianza kutulipa humu hakutakalika, inaweza[Jf] kugeuka kuwa kapu la vitu vya ajabu. Ila kuna mashindano ya Uandishi wa machapisho, ukishinda unajipatia Tsh. Milioni kadhaa π΅π΅πΆπΈ