Hizo ulizo taja ni majina tu, yanayo tolewa na nchi husika kuita kundi lao , Tanz ipo mfano komando ni special force pia ,Wakuu ningependa kujua kama Jeshi letu lina special forces kama SAS, Navy seal, Royal Marine, Delta Force,
Special forces ni vikosi maalum kwaajili ya kazi maalum. Kwa mfano; jeshi la marekani lina vikosi maalumu kama navy seals na delta force hivi ni vikosi vinavyotumika kwenye operation maalum ambazo huwezi kutumia jeshi kama operation ile iliyomuua Osama (navy seals walitumika) Urusi pia wana kikosi maalum, uingereza, Izrael(hawa jamaa walikitumia pia Uganda kuokoa Waizrael waliozuiliwa na Idd Amin) nk, Muuliza swali ameuliza kama tuna vikosi kama hivyo JWTZ? Kuna mtu hapo amesema ndio mfano jeshi la tanzania DRC, iliyopo DRC sio kikosi maalum bali ni kikosi cha kawaida cha jeshi. Special forces huwa inaundwa na team ya makomandoo wakiwa kwenye kikosi cha wapiganaji kati ya wa5 hadi 7, na wanaweza kuzidi hadi 15Kwani maana ya Special Force ni nini? Tuambie kwanza halafu tutakujibu.
Asante kwa jibu zuri mkuuSpecial forces ni vikosi maalum kwaajili ya kazi maalum. Kwa mfano; jeshi la marekani lina vikosi maalumu kama navy seals na delta force hivi ni vikosi vinavyotumika kwenye operation maalum ambazo huwezi kutumia jeshi kama operation ile iliyomuua Osama (navy seals walitumika) Urusi pia wana kikosi maalum, uingereza, Izrael(hawa jamaa walikitumia pia Uganda kuokoa Waizrael waliozuiliwa na Idd Amin) nk, Muuliza swali ameuliza kama tuna vikosi kama hivyo JWTZ? Kuna mtu hapo amesema ndio mfano jeshi la tanzania DRC, iliyopo DRC sio kikosi maalum bali ni kikosi cha kawaida cha jeshi. Special forces huwa inaundwa na team ya makomandoo wakiwa kwenye kikosi cha wapiganaji kati ya wa5 hadi 7, na wanaweza kuzidi hadi 15
mvnjfWakuu ningependa kujua kama Jeshi letu lina special forces kama SAS, Navy seal, Royal Marine, Delta Force,
Kwani hujui JWTZ Special Force to DRC ni miongoni mwa Majeshi 20 bora Duniani.
special forces | elite , highly trained military forces, specially selected to work on difficult missions
Makomando wapo Kila jeshiThen JWTZ wana Special Forces. Kumbuka JWTZ wana kikosi cha Makomandoo. Sasa hawa Makomandoo hawafundishwi kuwa Makomandoo ili wakapigane kama infantria.