Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Mbona rahisi tu kupata majibu yake, we andamana uone.Wakuu ningependa kujua kama Jeshi letu lina special forces kama SAS, Navy seal, Royal Marine, Delta Force,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona rahisi tu kupata majibu yake, we andamana uone.Wakuu ningependa kujua kama Jeshi letu lina special forces kama SAS, Navy seal, Royal Marine, Delta Force,
Kwa tafsiri hiyo uliyoweka wapo, ni kama umejijibu mwenyewe.special forces | elite , highly trained military forces, specially selected to work on difficult missions
Kumbe wew huelewi.Sasa mfano huyo jamaa ulimueka kwenye aviator aliyekufa Congo je walienda wote makomando Congo?
Sidhani kwa dunia ya sasa kujulikana uwepo wa special force ni tatizo sana! Tatizo ni kujulikana members wake kwa utambulisho halisi, training pamoja na missions zao! Hapa kila MTU anaimba majina ya special forces za nchi nyingine na madhara hakuna![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aisee subiri malawi walete fyoko fyoko atawaona!!ila mkuu siri myingine miza ndani sio za kuanika humu nadhani umenielewa!!
Mambo ya ulinzi sio ya kutaka kuyajua kiholela mkuu, hatujuani hapa mtu anauliza mambo ya ulinzi na usalama wa majeshi anataka kujua ili iweje labda.Hivi ni chuki au nini... Siku hizi JF imekuwa ukiuliza swali ni kama umeamua kutafuta matusi.
Mtu anakwambia tafuta hela watoto wakale, wakati yeye anazunguka JF kuropoka.
Acha zako bwana, mbona unaishi kizamani mkuu?Mambo ya ulinzi sio ya kutaka kuyajua kiholela mkuu, hatujuani hapa mtu anauliza mambo ya ulinzi na usalama wa majeshi anataka kujua ili iweje labda.
Kuna maswali ukiuliza utajibiwa mengine huwezi kujibiwa Never
Mbona una hasira??! Fala wwHakuna Tanzania ila Burundi,Rwanda,Uganda na Kenya ndiyo zipo,hebu kawaulize unachotaka! Hapa huwezi jibiwa maana hatunaga mambo hapa Watanzania! Kwani waliokutuma wamesema hapa utapata habari kama wapo? Lakini ushauri mwingine kaulize pale makao makuu ya jeshi upanga aua hata pale lugalo nadhani wale ma MP watakusaidia jibu lako!
Listen... Ameuliza kuna special forces Tanzania? Special forces zinajulikana, sio kitu cha kuficha. Hajauliza majina ya mission walizofanya au siri za nchi. Suala la Special forces kuwa zipo halihusiani na siri za majeshi ya ulinzi na usalama. Ndio maana kila nchi imebainishaMambo ya ulinzi sio ya kutaka kuyajua kiholela mkuu, hatujuani hapa mtu anauliza mambo ya ulinzi na usalama wa majeshi anataka kujua ili iweje labda.
Kuna maswali ukiuliza utajibiwa mengine huwezi kujibiwa Never
Acha uongo wewe, wanajeshi walioko Congo Drc wapo mchanganyiko yaani makomandoo ( ndio wanaoundwa Tanzania special force)Special forces ni vikosi maalum kwaajili ya kazi maalum. Kwa mfano; jeshi la marekani lina vikosi maalumu kama navy seals na delta force hivi ni vikosi vinavyotumika kwenye operation maalum ambazo huwezi kutumia jeshi kama operation ile iliyomuua Osama (navy seals walitumika) Urusi pia wana kikosi maalum, uingereza, Izrael(hawa jamaa walikitumia pia Uganda kuokoa Waizrael waliozuiliwa na Idd Amin) nk, Muuliza swali ameuliza kama tuna vikosi kama hivyo JWTZ? Kuna mtu hapo amesema ndio mfano jeshi la tanzania DRC, iliyopo DRC sio kikosi maalum bali ni kikosi cha kawaida cha jeshi. Special forces huwa inaundwa na team ya makomandoo wakiwa kwenye kikosi cha wapiganaji kati ya wa5 hadi 7, na wanaweza kuzidi hadi 15
Ajaribu arudi bila meno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna Tanzania ila Burundi,Rwanda,Uganda na Kenya ndiyo zipo,hebu kawaulize unachotaka! Hapa huwezi jibiwa maana hatunaga mambo hapa Watanzania! Kwani waliokutuma wamesema hapa utapata habari kama wapo? Lakini ushauri mwingine kaulize pale makao makuu ya jeshi upanga aua hata pale lugalo nadhani wale ma MP watakusaidia jibu lako!
hutajua hapa.Wakuu ningependa kujua kama Jeshi letu lina special forces kama SAS, Navy seal, Royal Marine, Delta Force,
HahaaaKuna jamaa mmoja amepitia mafunzo ya kukaanga kokoto kwa mkono wake kama mwiko, kukimbia kivuli chake na kukiacha umbali wa mita 1, kukata umeme nchi nzima kwa kupuliza 'puuuuu', ngoja nimuulize yuko kikosi gani kama si special force