Hivi JF hakuna tunaokula utamu wa mapenzi?!

Bora umelijua hilo mapema

Humu mtu anaweza kukwambia yeye ni Jobless kumbe ni boss wako kazini

Ama mtu akasema anaendesha BMW kumbe yupo na baiskeli ya Phoenix

Ama ukaambiwa ni Mzee wa miaka 65 kumbe ni dogo wa miaka 23 πŸ™Œ
Nami nimo, yote lengo ni kuficha identity kwa fake information.
Mimi huwa nachukua la muhimu tu mengineyo siyajali.
 
Cha ya maziwa hii🀣🀣
 
Bora umelijua hilo mapema

Humu mtu anaweza kukwambia yeye ni Jobless kumbe ni boss wako kazini

Ama mtu akasema anaendesha BMW kumbe yupo na baiskeli ya Phoenix

Ama ukaambiwa ni Mzee wa miaka 65 kumbe ni dogo wa miaka 23 πŸ™Œ
Naunga mkono hoja πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…