OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #61
Ewaaaaaa haaaa haaaa inabidi wazee wa baraza wapewe mrejeshoHuwa nasemaga humu, walio kwenye ndoa kutwa kulalamika wananyimwa unyumba, siku wakipewa wala hawasemi Leo nimepewa.
Ila ndo nature ya binadamu, tunakumbuka mabaya kuliko mazuri.....Mume apewe unyumba mwaka mzima, akinyimwa wiki moja vikao hadi Kwa wazee wa Baraza.....na akianza kupewa upya harudi Kwa wazee aseme jamani nishaanza kupewa🤣🤣🤣🤣