HIVI JF WATU HUWA HAWALALI

hahahaha leo nimeota nyumban tunafuga ng'ombe nimeamka nikazikata zote miguu usiku, sijui inamaana gani hii ndoto
Teh teh teh.... Kumbe ndio maana unaogopa kulala! unahisi ukilala utaendelea kukata miguu ya ng'ombe
 
Ni saa nane kasoro saiz na naona watu bado wapo online najiuliza kinachowafanya wasilale ni kitu gani?
Kasome kwanza international date linea utapata majibu!
Sio wote member Wa jf tu bongo lala wengine tupo new York city kwa sasa jua linawaka kwetu!
Vile vile hata kwenu huko bongo lala kunawatu Wa night shift wako maofsin sasa hivi wapiga kaz na stor juu
Usiwasahau na jobless a.k.a walevi Wa mtandao addicted people now wapo, kutwa mtandaoni mpaka usku wa manane utadhani wanalipwa!
 
Wengine tupo juu ya wenzetu saa hizi
Juu ya wenzenu kwenye msimamo wa ligi ya ndondo cup? yaani hiyo ndio inawafanya msilale? nahisi mtakuwa mnawangiana aisee
 
Ha ha haaaa

Karibu uburudike nasi humu mida hii tusiyolala.
 
Nimeenda kumchungulia kaingia chooni fasta [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kama umeenda kumchungulia atajua labda na ww mwanga member mwenzio maana huu ndo unaitwa usku Wa manane sio rahsi kukuta MTU anarandaranda lazma umkamate uchawi
 
Kama umeenda kumchungulia atajua labda na ww mwanga member mwenzio maana huu ndo unaitwa usku Wa manane sio rahsi kukuta MTU anarandaranda lazma umkamate uchawi
Kwanini ajifiche chooni sasa, halafu nikachonipa wasiwasi ni kuoga saiz huku marangu kuna baridi kali sana so sijamuelewa jamaa au labda hajakatwa govi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…