Aisee kumbe uko kwa Trump hauko Tanzania! huko wenzetu kiingilishi mtakuwa mnakijua sana kuliko sisi huku kama hivyo (bold)Wengine akina sisi tupo kwenye nchi ya Trump wakati wew uko kwenu kolomije ni usiku uku kwetu muda huu ni mchana kwaio tusipangiane muda wa kuchart ndugu