HIVI JF WATU HUWA HAWALALI

HIVI JF WATU HUWA HAWALALI

Wengine akina sisi tupo kwenye nchi ya Trump wakati wew uko kwenu kolomije ni usiku uku kwetu muda huu ni mchana kwaio tusipangiane muda wa kuchart ndugu
Aisee kumbe uko kwa Trump hauko Tanzania! huko wenzetu kiingilishi mtakuwa mnakijua sana kuliko sisi huku kama hivyo (bold)
 
Back
Top Bottom