Hapana Mkuu Nina matatizo sisikii vizuri.Wewe utakuwa mpare, ugali na dagaa mmoja
Mpaka na burudani ya wimbo unataka uletewe kwa maandashi! Noma sana
Hatujalala tulikuwa tunaosha vyombo tulivyolia dakuNaona nyote mmelala. Hahahaaaaa Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi
Mnanisema?[emoji35] [emoji35] [emoji35]Ni saa nane kasoro saiz na naona watu bado wapo online najiuliza kinachowafanya wasilale ni kitu gani?
Wewe utakuwa mpare, ugali na dagaa mmoja
Mpaka na burudani ya wimbo unataka uletewe kwa maandashi! Noma sana
hongera. Lakini kwenye mkesha sikukuona kabisaHatujalala tulikuwa tunaosha vyombo tulivyolia daku
Ndugu si ungepeleka tu kwenye jukwaa la matangazo. hapa ni jukwaa la wasiolalaCar From Japan Grand Giveaway 2017 Jishindie GARI mpya bure kabisa kutoka Japan, unachopaswa kufanya ni kujisajili bureee kabisa kwa kufuata hiyo link hapo JUU, hakuna malipo yoyote, share hiyo link ili upate point zaidi za kushinda
tukutane tena usiku wa mananeNdugu si ungepeleka tu kwenye jukwaa la matangazo. hapa ni jukwaa la wasiolala
au sio kiongozi.. usisahau kuniamsha na leo, nitakusaidia kulinda daku yakotukutane tena usiku wa manane
Ule ni wa mida ya Wanga! weka mbali na watoto..Kuna uzi humu wa usiku unaitwa jf usiku wa manane
Kuna ule mwingine kwa waliokosa usingizi kabisa!Basi huu uzi ni maalum kwa tunaochelewa kulala
Wakati huu wewe umelala?[emoji16]Ni saa nane kasoro saiz na naona watu bado wapo online najiuliza kinachowafanya wasilale ni kitu gani?
Hahahaha weweUnemjua mlinzi wa JF? nikutonye kidogo tu..... (ibaki siri yako lakini usimwambie mtu eeee sawa?) ni Joseverest . anatulinda masaa 24