Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko awamu ya tatu kuelekea ya nneCorona ya awamu ya pili sidhani kama nyungu itafanya kazi
Sio mayai tu hata vifaranga, kama ukiona vinafanana na jogoo lako usiulize wewe kamata tu ni mali yako hiyo imezalisha..Eti wakuu. Maana naona ng'ombe wanapandishia hela. Walau hawa wanalipwa. Sasa hiki la jogoo likoje?
Kabisa mtaeleweshana kwa court..Kama vipi tukutane mahakamani.