Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
The guy is good.
MwananchiNews nimesoma kwenye habari yenu kuwa mmenipigia sikupokea. Fahamuni tu kuwa wakati mnapiga nilikuwa naendesha mafunzo ya Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Chademawz Mkoani Tabora.
Ingekuwa vyema kwa jitihada zenu hizo hizo mkawauliza @tanpol kwanini hawajatoa mwito wa maandishi wala kueleza sababu za kuniita mpaka hivi sasa iwe kwangu au kwa mawakili wetu na iwapo wanamuita John Mnyika binafsi au kwa nafasi yake ya Katibu Mkuu CHADEMA.
Soma Pia: Wakili CHADEMA athibitisha Mnyika kuitwa Polisi Kinondoni, RPC asema hana taarifa