Hivi John Mnyika angekuwa na Digrii ingekuwaje? Kama ana six na ana nondo kali kama hizi?

Hivi John Mnyika angekuwa na Digrii ingekuwaje? Kama ana six na ana nondo kali kama hizi?

Hawa ndo tunatakiwa kujifunza vitu vidogo vidogo kutoka kwao, wakili wake anasema akirudi atampeleka akasikilizo wito hapo hapo aliyeitwa anasema hakuna barua ya wito iliyoeleza sababu za kuitwa.

Swali langu, utaratibu ukoje ni lazima uitwe kwa barua au hata kwa simu au ukiona taarifa kwenye social media tu inatakiwa uitikie wito?
 
Mimi na wewe hatujui.
 
Hao hao unaosema awana akili ndiyo wamekufanya uwe na amani ya kuandika hayo. Nadhani kuna haja ya kujitadhimini kaika mawazo yetu kuhusu jambo flani
Kwani wanafanya kama hisani, ama ni wajibu wao ili wapate mshahara? Na bado wanaifanya kazi hiyo kwa ufanisi duni mno.
 
Kwani wanafanya kama hisani, ama ni wajibu wao ili wapate mshahara? Na bado wanaifanya kazi hiyo kwa ufanisi duni mno.
Kwahiyo ulitaka waifanye bila malipo? Hivi shida ni nini?
 
K
The guy is good.

MwananchiNews nimesoma kwenye habari yenu kuwa mmenipigia sikupokea. Fahamuni tu kuwa wakati mnapiga nilikuwa naendesha mafunzo ya Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Chademawz Mkoani Tabora.

Ingekuwa vyema kwa jitihada zenu hizo hizo mkawauliza @tanpol kwanini hawajatoa mwito wa maandishi wala kueleza sababu za kuniita mpaka hivi sasa iwe kwangu au kwa mawakili wetu na iwapo wanamuita John Mnyika binafsi au kwa nafasi yake ya Katibu Mkuu CHADEMA.

Soma Pia: Wakili CHADEMA athibitisha Mnyika kuitwa Polisi Kinondoni, RPC asema hana taarifa

Kujitambua siyo kusoma chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom