Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
We kada tapeli mnywa komoni kaa kimyaMaarifa ndio muhimu π
Mtu hakatai wito ndio uungwana
Mtoa hoja watu wananujua degrees hadi PHD, kinachotakiwa ni uwezo wa mtu.The guy is good.
View attachment 3094389
π π π π Ungemalizia na shenziii kbs mkuuu....We kada tapeli mnywa komoni kaa kimya
mtoa mada hamjui Mnyika .relaxNinavyojua huyu jamaa alisoma UDSM na akafanyiwa kampeni kugombea ubunge Jimbo la ubungo akiwa mwanafunzi . Kwani hakumaliza digrii?
Yes Mwaka wa MWISHO SERIKALI ilimtemaNinavyojua huyu jamaa alisoma UDSM na akafanyiwa kampeni kugombea ubunge Jimbo la ubungo akiwa mwanafunzi . Kwani hakumaliza digrii?
Hao hao unaosema awana akili ndiyo wamekufanya uwe na amani ya kuandika hayo. Nadhani kuna haja ya kujitadhimini kaika mawazo yetu kuhusu jambo flaniPolisi hawa wa Tanzania mbona hawana aibu?!!!
Hivi aibu na elimu vinaendana?!
Ukiwa na elimu duni na aibu unakosa!?
Viongozi wa CHADEMA wamewatuhumu Polisi kwa kumiliki karakana za kutesea watu na Wametaja majina ya Polisi Watekaji na watesaji!
Sasa Polisi hawa hawajajisafisha kwa kutoa maelezo ya kina kuhusu tuhuma hizi lakini wanakimbilia kuanza kumuita John Mnyika aende wakamuhoji?! Kwa credibility ipi?!
Hapo Kenya tu hivi majuzu tumeona IGP wao Koome amejiuzuru kwa kushindwa kusimamia vizuri maandamano ya Gen Z kwa Polisi kuua waandamanaji!!
Hapa kwetu Polisi wanatuhumiwa kuteka,kutesa na kuua raia lakini bado IGP wetu bila aibu anasema hali ni shwari!
Only ktk Jamuhuri ya Mazwazwa!!
Mhe.John Mnyika watu wenye akili bado wanakuhitaji, chukua tahadhari ikibidi USIENDE!!