Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Noma sana, Chadema hakuna hakuna Mbugila Mbugila kuna akina Kibao walioshinda Vita Kagera.The guy is good.
View attachment 3094389
Bora six ya Mnyika kuliko degree uchwala za Makala na ChalamilaNdo maana chadema inaharakati za kishule shule kumbe inaongozwa na form 6 na diploma ya mbowe
Hawa ndo tunatakiwa kujifunza vitu vidogo vidogo kutoka kwao, wakili wake anasema akirudi atampeleka akasikilizo wito hapo hapo aliyeitwa anasema hakuna barua ya wito iliyoeleza sababu za kuitwa.The guy is good.
View attachment 3094389
Mimi na wewe hatujui.Hawa ndo tunatakiwa kujifunza vitu vidogo vidogo kutoka kwao, wakili wake anasema akirudi atampeleka akasikilizo wito hapo hapo aliyeitwa anasema hakuna barua ya wito iliyoeleza sababu za kuitwa.
Swali langu, utaratibu ukoje ni lazima uitwe kwa barua au hata kwa simu au ukiona taarifa kwenye social media tu inatakiwa uitikie wito?
Kwa hapa Tanzania hakuna tofauti ya maana kati ya PhD holder na standard 7 leaver. Tena hao wanajiita wasomi ndio wamekuwa chawa wa ajabu.Ndo maana chadema inaharakati za kishule shule kumbe inaongozwa na form 6 na diploma ya mbowe
Uko sawa. Mbali ya uchawa hata uwezo wa kujua mambo ni duni kabisa.Kwa hapa Tanzania hakuna tofauti ya maana kati ya PhD holder na standard 7 leaver. Tena hao wanajiita wasomi ndio wamekuwa chawa wa ajabu.
Kwani wanafanya kama hisani, ama ni wajibu wao ili wapate mshahara? Na bado wanaifanya kazi hiyo kwa ufanisi duni mno.Hao hao unaosema awana akili ndiyo wamekufanya uwe na amani ya kuandika hayo. Nadhani kuna haja ya kujitadhimini kaika mawazo yetu kuhusu jambo flani
Kwahiyo ulitaka waifanye bila malipo? Hivi shida ni nini?Kwani wanafanya kama hisani, ama ni wajibu wao ili wapate mshahara? Na bado wanaifanya kazi hiyo kwa ufanisi duni mno.
Hata ufaulu wake wa form 4 na 6 ulikuwa juu sana!.Bora six ya Mnyika kuliko degree uchwala za Makala na Chalamila
Kujitambua siyo kusoma chuo kikuu.The guy is good.
MwananchiNews nimesoma kwenye habari yenu kuwa mmenipigia sikupokea. Fahamuni tu kuwa wakati mnapiga nilikuwa naendesha mafunzo ya Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Chademawz Mkoani Tabora.
Ingekuwa vyema kwa jitihada zenu hizo hizo mkawauliza @tanpol kwanini hawajatoa mwito wa maandishi wala kueleza sababu za kuniita mpaka hivi sasa iwe kwangu au kwa mawakili wetu na iwapo wanamuita John Mnyika binafsi au kwa nafasi yake ya Katibu Mkuu CHADEMA.
Soma Pia: Wakili CHADEMA athibitisha Mnyika kuitwa Polisi Kinondoni, RPC asema hana taarifa
Huyo niliyemjibu ameongea kama ni kazi ya kujitolea.Kwahiyo ulitaka waifanye bila malipo? Hivi shida ni nini?