Nilitaka niulize umeniwakilisha mkuukatoto kazuri, yaani kiba kashindwa kukatia mimba
Mchana mlikuwa wap.kuweka hizo pics..usiku huu bana
Miguu kama mihogo imeanikwa juani.Uongo sio kazi; ukweli kamejaaliwa sana sema tu ndio hakana bahati ya kuolewa tu.
Diamond kapita, Kiba kila akifikiria hilo ndio maana anasitasita.
Hashim Thabeet nae...
Atakuwa mikoani na Polepole
Sawateh teh teh teh
Mapenzi ni kama upofu tu; wakati mi nasifia uumbaji wa Mungu we unaponda na ndio maana wengine wanapenda wanawake weupe while wengine hata katika orodha ya kina dada aliowahi ku deti nao utakuta karibu wote hakuna mweupe so ndio hivyo mkuu.Miguu kama mihogo imeanikwa juani.
Sawa mkuuMapenzi ni kama upofu tu; wakati mi nasifia uumbaji wa Mungu we unaponda na ndio maana wengine wanapenda wanawake weupe while wengine hata katika orodha ya kina dada aliowahi ku deti nao utakuta karibu wote hakuna mweupe so ndio hivyo mkuu.
huyo mwingine sio yeyeNauliza tu jamani maana Nina Siku kadhaa sifiki ofisi za Lumumba. Huyu mwenzetu kashaanza kazi hapo? Au yuko kwenye operations za mikoani? Naomba tujuzane alipo Hutu mwanadada mahiliView attachment 510353 View attachment 510354 View attachment 510354
Naomba aulizwe King atakuwa anajuwa tuNauliza tu jamani maana Nina Siku kadhaa sifiki ofisi za Lumumba. Huyu mwenzetu kashaanza kazi hapo? Au yuko kwenye operations za mikoani? Naomba tujuzane alipo Hutu mwanadada mahiliView attachment 510353 View attachment 510354 View attachment 510354