Hivi Jokate hajaanza kazi yake ya UVCCM?

Hivi Jokate hajaanza kazi yake ya UVCCM?

Miguu kama mihogo imeanikwa juani.
Mapenzi ni kama upofu tu; wakati mi nasifia uumbaji wa Mungu we unaponda na ndio maana wengine wanapenda wanawake weupe while wengine hata katika orodha ya kina dada aliowahi ku deti nao utakuta karibu wote hakuna mweupe so ndio hivyo mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Sawa mkuu
 
Ila huyu mwenye taulo si kidoti jamani, kidoti ni huyo mwenye kikaptura.
 
Kumbe alianza 'uhamasishaji' wa vijana kukipenda 'chama chake' tangu akiwa mwanafunzi kwa kuvaa vimini sketi. Ndio uhamasishaji wenyewe. CCM Bwana!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyo mtoto ni mzuri sana, she is decent and bright. Uwa nakapendaga tu. Katakuja kua mwenyekiti wa chama siku moja.
 
Back
Top Bottom