Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huyu binti ni mrembo kwelikweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uzuri wake, ana wapiga chini sana majaa wasio jielewa elewa...Huyu binti ni mrembo kwelikweli.
Nauliza tu jamani maana Nina Siku kadhaa sifiki ofisi za Lumumba. Huyu mwenzetu kashaanza kazi hapo? Au yuko kwenye operations za mikoani? Naomba tujuzane alipo Hutu mwanadada mahiliView attachment 510353
Asije kuwa kama wolper kunuka...... K
Sasa kamekosea zaidi Rangi ya kijani ina mikosi hienda kasiolewe kabisa maana huko katatumika style zoteUongo sio kazi; ukweli kamejaaliwa sana sema tu ndio hakana bahati ya kuolewa tu.
Sasa kamekosea zaidi Rangi ya kijani ina mikosi hienda kasiolewe kabisa maana huko katatumika style zote[/QUOTE
Kama mwanamke hanaga dini hata mimi naweza kukachumbia tu kaka halafu nakapa masharti kwamba mambo ya mbele kwa mbele hapa sitaki and then maisha yanakwenda tu. NArudia tena, "Uongo sio kazi; ukweli kamejaaliwa sana sema tu ndio hakana bahati ya kuolewa"
Halafu niliwahi kumsoma Diamond wakati ule anatoka nako, aliwahi kukasifia kwamba kanajua sana hata kum handle mwanaume, kalikua kanampangia/kumwandalia hadi nguo za kuvaa hasa anapoenda kwenye show zake, so ni ka wife material pia.
Haiachi alama wala haina makomboDiamond kapita, Kiba kila akifikiria hilo ndio maana anasitasita.
Hashim Thabeet nae...
Haina mita babu akikupa leo yaani utaona kama umepewa bikra
We kojolea tu hakunaga makombo
Ila sie wanaume wabaguzi aise mi ukiniuliza madem niliowahi kupiga sikumbuki hata idadi
Za kununua
Za heat and run
Za urafiki
Za ahadi ya kuoa
Sasa wanaume watatu tu unaowajua wewe ndo unamtolea macho mtoto wa watu