Hivi Jonas Mkude aliwaza nini Kusajili Yanga SC akijua kuna Vyuma vya maana Kumzidi Yeye?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku akiwa na Mapafu ya Mbwa Pacome Zouzou achilia mbali Zawadi Mauya?

Mkude kweli Akili hana yaani kama Yanga SC imethubutu Kumuacha Kiungo Bora wa Ukabaji ambaye Mkude hamfikii hata kwa 50% aitwae Yannick Bangala kwakuwa hatoweza Kushindana na hawa Wachezaji mahiri wa Yanga SC niliowataja na huyu Mpya Pacome Yeye Mkude alijua kuwa atatoboa na kupata namba Kikosi cha Kwanza?

Hana Akili.....!!
 
tulia tu mkude atacheza tu,mechi ni nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia kaka asije akakuuliza "waliosema sitoboi leo wapo wapi?"

Utani pembeni kidogo.
Mimi niliposikia tetesi tu za Mkude kusajiliwa Yanga nilihisi usajili utakuwa wa ovyo. Ulilenga kukomoana au kuendeleza utani wa jadi na siyo wa malengo ya uwanjani.
 
Kwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku akiwa na Mapafu ya Mbwa Pacome Zouzou achilia mbali Zawadi Mauya? Mkude kweli Akili hana yaani kama Yanga SC imethubutu Kumuacha Kiungo Bora wa Ukabaji ambaye Mkude hamfikii hata kwa 50% aitwae Yannick Bangala kwakuwa hatoweza Kushindana na hawa Wachezaji mahiri wa Yanga SC niliowataja na huyu Mpya Pacome Yeye Mkude alijua kuwa atatoboa na kupata namba Kikosi cha Kwanza?

Hana Akili.....!!
Si kila mchezaji anasajili katika klabu fulani ili apate namba ya kudumu au acheze mara kwa mara. Wengine wanafuata fedha, na pengine yawezekana wapo sahihi kuliko wanaotafuta namba kuliko fedha. Mkude aliwekewa mzigo mezani akasaini, ukizingatia kuwa alikua ameshaachwa na timu yake. Ndio maana sehemu nyingi tu duniani unakuta mchezaji anagoma kuondoka katika klabu fulani licha ya kukosa namba

1695793690342.png
 
Kwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku akiwa na Mapafu ya Mbwa Pacome Zouzou achilia mbali Zawadi Mauya?

Mkude kweli Akili hana yaani kama Yanga SC imethubutu Kumuacha Kiungo Bora wa Ukabaji ambaye Mkude hamfikii hata kwa 50% aitwae Yannick Bangala kwakuwa hatoweza Kushindana na hawa Wachezaji mahiri wa Yanga SC niliowataja na huyu Mpya Pacome Yeye Mkude alijua kuwa atatoboa na kupata namba Kikosi cha Kwanza?

Hana Akili.....!!
Hivi na wewe ulishawahi kujiuliza ni kwa nini wajumbe wanakuchukulia kama Popoma tu humu jukwaani!!!
 
Back
Top Bottom