GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
tulia tu mkude atacheza tu,mechi ni nyingiKwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku akiwa na Mapafu ya Mbwa Pacome Zouzou achilia mbali Zawadi Mauya?
Mkude kweli Akili hana yaani kama Yanga SC imethubutu Kumuacha Kiungo Bora wa Ukabaji ambaye Mkude hamfikii hata kwa 50% aitwae Yannick Bangala kwakuwa hatoweza Kushindana na hawa Wachezaji mahiri wa Yanga SC niliowataja na huyu Mpya Pacome Yeye Mkude alijua kuwa atatoboa na kupata namba Kikosi cha Kwanza?
Hana Akili.....!!
Si kila mchezaji anasajili katika klabu fulani ili apate namba ya kudumu au acheze mara kwa mara. Wengine wanafuata fedha, na pengine yawezekana wapo sahihi kuliko wanaotafuta namba kuliko fedha. Mkude aliwekewa mzigo mezani akasaini, ukizingatia kuwa alikua ameshaachwa na timu yake. Ndio maana sehemu nyingi tu duniani unakuta mchezaji anagoma kuondoka katika klabu fulani licha ya kukosa nambaKwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku akiwa na Mapafu ya Mbwa Pacome Zouzou achilia mbali Zawadi Mauya? Mkude kweli Akili hana yaani kama Yanga SC imethubutu Kumuacha Kiungo Bora wa Ukabaji ambaye Mkude hamfikii hata kwa 50% aitwae Yannick Bangala kwakuwa hatoweza Kushindana na hawa Wachezaji mahiri wa Yanga SC niliowataja na huyu Mpya Pacome Yeye Mkude alijua kuwa atatoboa na kupata namba Kikosi cha Kwanza?
Hana Akili.....!!
Hivi na wewe ulishawahi kujiuliza ni kwa nini wajumbe wanakuchukulia kama Popoma tu humu jukwaani!!!Kwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku akiwa na Mapafu ya Mbwa Pacome Zouzou achilia mbali Zawadi Mauya?
Mkude kweli Akili hana yaani kama Yanga SC imethubutu Kumuacha Kiungo Bora wa Ukabaji ambaye Mkude hamfikii hata kwa 50% aitwae Yannick Bangala kwakuwa hatoweza Kushindana na hawa Wachezaji mahiri wa Yanga SC niliowataja na huyu Mpya Pacome Yeye Mkude alijua kuwa atatoboa na kupata namba Kikosi cha Kwanza?
Hana Akili.....!!